Matokeo darasa la saba 2024 | Necta results

Matokeo darasa la saba 2024
Matokeo darasa la saba 2024

Matokeo darasa la saba 2024 haya hapa | Tazama matokeo yako hapa.

Matokeo darasa la saba 2024 yatangazwa rasmi.

Matokeo darasa la saba 2024, Leo Oktoba 29  NECTA Wametangaza Matokeo Ya Darasa la Saba 2024-2025 (PSLE), Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA)

Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) kwa mwaka wa masomo 2024-2025.

Matokeo darasa la saba 2024
Matokeo darasa la saba 2024

Matokeo ya Darasa la Saba 2024-2025 (PSLE)

Takwimu za Ufaulu kwa Mwaka 2024

“Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 81.85% na wasichana ni 525,172 Sawa na 80.05%, hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%”, Dk.Said Mohamed, Katibu Mtendaji NECTA

Katika takwimu hizo:

  • Wavulana: Watahiniwa 449,057 walifaulu, sawa na asilimia 81.85%. Hii inaonyesha kuwa ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%.
  • Wasichana: Watahiniwa 525,172 walifaulu, sawa na asilimia 80.05%. Hata hivyo, ufaulu wa wasichana umepungua kwa 0.53%.

 

Tazama hapa Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (Psle) 2024.

Kwa maelezo zaidi kuhusu matokeo na uchambuzi wa kina, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya NECTA.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*